Jee Huu ni Ungwana? I Mtangazaji Leonard Mambo Mbotela Aaga Dunia

  • | KBC Video
    847 views

    Tasnia ya uanahabari na taifa kwa jumla linaomboleza kifo cha mtangazaji mkongwe Leonard Mambo Mbotela. Kulingana na familia yake, Mbotela mwenye umri wa miaka 84, alikuwa mgonjwa na akalazwa katika hospitali moja jijini Nairobi kabla ya kuiaga dunia leo asubuhi. Rais William Ruto aliongoza wakenya kumwomboleza Mbotela akisema atakumbukwa daima kutokanana na umachachari wake na kuwa kielelezo kwa watangazaji chipukizi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive