Viongozi wazozania nafasi ya kuzungumza mazishini, Siaya

  • | Citizen TV
    911 views

    Kizazaa kilishuhudiwa katika hafla ya mazishi ya mwanaharakati Richard Otieno katika kaunti ya siaya baada ya viongozi kutoka kaunti hiyo na wale wa kaunti ya Nakuru kuzozania nafasi ya kuzungumza.Vurugu hiyo ikikatiza mazishi ghafla, na familia kulazimika kuharakisha kuzikwa kwa marehemu.