Familia moja Nakuru linatafuta mwili wa mwanao iliyotoweka kwa hifadhi ya maiti

  • | NTV Video
    450 views

    Familia moja inayoomboleza kifo cha mwanao imekumbwa na msiba zaidi, baada ya mwili wa mtoto wao wa miezi saba kutoweka kwenye makafani ya Hospitali ya Rufaa ya Nakuru.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya