'Saratani ya koo iliondoa sauti yangu na kumaliza ndoa yangu'

  • | BBC Swahili
    595 views
    Mary Amankwah Fordwor, kutoka nchini Ghana, aligundulika kuwa na saratani ya koo mwaka 2021, ambapo alifanyiwa upasuaji mara 14 na kusababisha kuondolewa kwa koromeo. Sasa anatumia kifaa bandia cha sauti na hawezi kula tena kama ilivyokuwa hapo awali. Je saratani hii husababishwa na nini? Mary amesimulia kwa kina pamoja na changamoto alizopitia ikiwemo kuvunjika kwa ndoa yake. Tazama! #bbcswahili #ghana #saratani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw