Vijana wa Nakuru boys wafanya maandamano usiku

  • | Citizen TV
    4,134 views

    Katika kaunti ya Nakuru shule ya upili ya wavulana ya Nakuru waligoma jana usiku na kuzua vurugu wakilalamikia usimamizi haswa kufuatia kuondolewa Kwa mwalimu mkuu wa shule hiyo