- 370 viewsDuration: 4:33Maelfu ya watahiniwa wa gredi ya sita na ya tisa wameanza rasmi mitihani yao ya tathmini ya kitaifa. Shughuli hiyo imeonekana kuanza kwa utulivu katika kaunti nyingi huku maafisa wa elimu wakitoa hakikisho la usalama na kuonya vikali dhidi ya udanganyifu wa mitihani. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya