'Nimekesha usiku kucha ili kushuhudia sanamu hii, yaan siamini'

  • | BBC Swahili
    1,228 views
    Sanamu ya shaba ya nyota wa soka Cristiano Ronaldo ilizinduliwa katika bustani ya Times Square mjini New York City katika siku yake ya kuzaliwa ya kutimiza miaka 40. Mashabiki wameelezea furaha yao. #bbcswahili #cristianronaldo #soka Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw