Nahodha apoteza fahamu akiendesha mashua

  • | BBC Swahili
    710 views
    Wafanyakazi wa kitengo cha uokoaji cha Volusia walipata taarifa kuhusu boti inayozunguka bila uelekeo maalum katika Ziwa Dias huko Florida. Maafisa waliikimbiza mashua hiyo na kumwokoa mwanamume huyo ambaye alikuwa amepoteza fahamu #bbcswahili #Florida #ajaliyaboti Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw