Raila Odinga ametamatisha kampeni zake za AUC

  • | Citizen TV
    3,184 views

    Raila Odinga anatarajiwa kufika jijini addis ababa nchini Ethiopia jioni ya leo kujiandaa kwa kura ya uenyekiti wa tume ya umoja wa afrika siku ya jumamosi. Odinga amefanya kampeni zake za mwisho katika mataifa kadhaa leo ikiwemo Burundi na Somalia.