Suala la wengi na wachache bungeni lazua switofahamu

  • | KBC Video
    108 views

    Spika wa bunge la kitaifa Moses Wetang’ula ametangaza mrengo wa Kenya Kwanza kuwa ulio wa wengi katika bunge hilo. Akitoa uamuzi wake leo alasiri Wetangula alisema muungano wa Kenya Kwanza una wabunge-165 huku ule wa Azimio ukiwa na wabunge 154. Akigusia takwimu za mikataba mbalimbali ya miungano iliyonakiliwa kwenye afisi ya msajili mkuu wa vyama vya kisiasa, Wetangula alisema kuwa uamuzi uliotolewa na mahakama umezua switofahamu na mkanganyiko katika vikao vya bunge na kwamba watawasilisha rufaa mahakamani kuupinga.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive