Wafanyibiashara wakabiliana na genge la ulanguzi wa mihadarati Dagoreti

  • | K24 Video
    41 views

    Na kumekuwa na kizaazaa mchana kutwa katika mtaa wa kibiashara wa Dagorreti kufuatia makabiliano ya wafanyibiashara na genge la vijana. Genge hilo linadaiwa kuwa la walanguzi wa mihadarati na linalaumiwa kwa kudorora kwa hali ya usalama katika eneo la Dagoretti. Polisi walilazimika kutumia vitoa machozi kudhibiti hal