Waititu amehukumiwa miaka 12 gerezani au faini ya Ksh 53.5m

  • | Citizen TV
    9,099 views

    Gavana wa zamani wa Kiambu Ferdinand Waititu amehukumiwa kifungo cha miaka 12 gerezani au alipe faini ya shilingi milioni 53.5. Hii ni baada ya mahakama kumpata na hatia ya ufisadi kwenye kandarasi ya ujenzi wa barabara, huku mkewe pia akihukumiwa kwa kosa hili. Aidha, mahakama imempiga marufuku kushikilia wadhifa wowote wa umma kwa miaka 10 ijayo,