Walemavu wataka mwili wa mtoto uliopotea hospitalini

  • | Citizen TV
    1,246 views

    Watu wanaoishi na ulemavu wa kutosikia na kuongea wanaandamana katikati mwa Jiji la Nakuru kuishinikiza serikali ya kaunti hiyo kutoa mwili wa mtoto wa mmoja wao uliopotea wiki mbili zilizopita katika makafani ya hospitali ya Rufaa ya Nakuru