Mashabiki wa kandanda watoa damu hospitalini Kisii

  • | Citizen TV
    208 views

    Mashabiki wa timu tofauti humu nchini na Ligi Kuu ya Uingereza wamechukua hatua ya kuokoa maisha katika hospitali ya rufaa ya Kisii katika mpango maalum wa utoaji damu kwa wagonjwa