Muungano huo unalenga kutwaa uongozi nchini Sudan

  • | Citizen TV
    824 views

    Kundi la wapiganaji wa Sudan RSF pamoja na vyama vya kisiasa 20 na asasi tofauti za kiraia nchini Sudan zimetia saini makubaliano ya kuunda muungano mpya wa kisiasa