Madhara ya tumbaku : Shaban: Sheria ya udhibiti kurekebishwa

  • | KBC Video
    15 views

    Mwenyekiti wa bodi ya kudhibiti uuzaji wa Tombaku nchini , Naomi Shaban,ameapa kushinikiza marekebisho ya Sheria ya tumbaku ya mwaka 2007, wakisema kuwa sheriailiyopo ya sasa imepitwa na wakati huku tumbaku ikiendelea kuhatarisha afya ya wakenya Akiongea wakati wa warsha ya siku tatu ktika kaunti ya Kakamega iliyozingatia uhamasisho wa jamii na urekebishaji wa waraibu wa dawa za kulevya , Shaban alizingatia haja y ssa ya kuleta mabadiliko kuimarisha ulinzi wa afya ya umma Wadau walielezea wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa matumizi ya dawa za kulevya , wakisisitiza haka ya sheria madhubuti ya kudhibiti matumizi ya bidhaa za tumbaku .

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive