Rais amwandalia dhifa Raila Odinga

  • | KBC Video
    4,314 views

    Aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga anasema atatangaza hatma yake ya kisiasa hivi karibuni. Raila anasema atashauriana na viongozi wengine kama njia moja ya kutafuta mustakabali wake wa kisiasa na ushirikiano baina yake na rais William Ruto. Raila alisema haya alipohudhuria hafla ya chakula cha mchana iliyoandaliwa kwa niaba yake na rais Ruto ya kufunga rasmi kampeni ya uwaniaji wadhifa wa mwenyekiti wa tume ya muungano wa Afrika ambako Raila alishindwa, yapata wiki mbili zilizopita.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News