Mahakama yaagiza kurejeshwa kwa ardhi ya ekari 800

  • | Citizen TV
    116 views

    Zaidi ya wanachama 4,000 wa chama cha ushirika cha Kamulu wamepata afueni baada ya mahakama kuu mjini Machakos kusema kuwa ardhi ya zaidi ya ekari 800 ambayo ilikuw aimenyakuliwa kutoka kwao irejeshwe