Wakazi wa Mutaragon watakiwa kudumisha amani

  • | Citizen TV
    179 views

    Gavana wa Kericho Dkt. Erick Mutai ametoa wito wa utulivu katika kijiji cha mutaragon huko Kipkelion magharibi ambapo nyumba 16 na baa iliyomilikiwa na mshukiwa wa mauaji ya afisa mmoja wa KDF ziliteketezwa