Rais Ruto aendelea na ziara yake maeneo ya Pwani

  • | Citizen TV
    1,275 views

    Rais William Ruto ameendelea kutetea ushirikiano wake na waziri mkuu wa zamani Raila Odinga akisema wanaompinga wana njama ya kuendeleza siasa za chuki na ubaguzi. Akizungumza kaunti ya Kwale katika ziara yake ya Pwani, Rais Ruto amewaonya matapeli wa mashamba akisema serikali itatatua tatizo la maskwota pwani.