- 4 viewsUhamiaji na uchumi ni miongoni mwa vipaumbele vya wapiga kura wa Marekani wakati walipokwenda kwenye uchaguzi Novemba mwaka 2024. Lakini hivi sasa je Wamarekani wanahisi vipi kuhusu uchumi mwezi mmoja tangu Urais wa Donald Trump? VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Wamarekani watoa maoni yao kuhusu hali ua uchumi
- - 🔴LIVE | TV47 MATUKIO ››
- 26 Feb 2025 - A young American woman has been taken into police custody after her newborn baby was thrown out of a window of a Parisian hotel, the Paris prosecutor's office said on Tuesday.
- 26 Feb 2025 - As Rwanda-backed rebels closed in on eastern Congo's largest city, retreating army soldiers barged into Suzanne Amisi Wilonja's home near the airport to loot, firing indiscriminately and shooting her 10-year-old son Sylvain in the head.
- 26 Feb 2025 - Oxfam: Why women are 'undervalued' in business, labour markets
- 26 Feb 2025 - The Social Health Authority (SHA) has assured Kenyans that registered members can access free primary healthcare services at government facilities without restrictions. The post Gov’t reaffirms commitment to free primary healthcare, payment of valid…
- 26 Feb 2025 - Police have identified Peter Oketch, alias DJ I0, as the alleged mastermind behind the murder of Molo activist Richard Raymond Omollo, popularly known as Molo President.
- 26 Feb 2025 - Several people have died from the disease caused by sand flies in the past four months. Residents urge county government to distribute treated mosquito nets.
- 26 Feb 2025 - For years, the University of Nairobi (UoN) has been at the center of a power struggle that has turned the once-revered institution into a battleground for leadership wrangles.
- 25 Feb 2025 - Amid growing concerns over the looming crisis in health development funding, leaders from the Great Lakes region convened Tuesday in Lusaka, Zambia’s capital.
- 25 Feb 2025 - Homicide detectives have questioned several suspects as they seek to unravel the killers of Campbell Scott, a British national who disappeared in Nairobi before his decomposing body was discovered in a forest in Makueni.
- 25 Feb 2025 - The Communications Authority of Kenya (CA) has expressed concern over the disruption of critical internet services following Nairobi County’s recent crackdown on unauthorized fibre optic cables mounted on Kenya Power poles.