Mzozo wa madeni kati ya Kaunti ya Nairobi na Kenya Power waendelea

  • | Citizen TV
    1,714 views

    Utata umeendelea kati ya kaunti ya Nairobi na kampuni ya Kenya Power huku maeneo yaliyokaribu na jengo la Stima plaza yakisalia mahame kwa siku ya pili kutokana na uvundo wa taka. Mzozo huu ukisukumwa na madeni kati ya kampuni hizi mbili. Ni mzozo ambao sasa umeathiri biashara kadhaa zinazohudumu kwenye jumba hili.