Polisi warusha vitoa machozi kuwatawanya Nairobi

  • | Citizen TV
    1,119 views

    Vurugu zilishuhudiwa katika chuo kikuu cha kiufundi cha TUK hapa Nairobi, pale wanafunzi walipoandamana kupinga kufungwa kwa taasisi hiyo kwa juma la tatu sasa.