Raila kutangaza mwelekeo wake wa kisiasa juma lijalo

  • | KBC Video
    477 views

    Aliyekuwa waziri mkuuRaila Odinga anasema atatoa tangazo kuhusu mustakabali wake wa kisiasa juma lijalo baada ya kushauriana na wadau mbalimbali. Raila aliyekutana na wazee wa jamii na vijana mjini Kisumu alisema azma yake ya kuwania uenyekiti wa tume ya Muungano wa Afrika imefikia kikomo na sasa ataelekeza macho masuala ya humu nchini. Alisema mashauriano kuhusu hatma yake yatahusisha watu wa tabaka mbalimbali.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive