Mamake mfanyakazi wa KBC azikwa huko Embu

  • | KBC Video
    124 views

    Wakenya wamehimizwa kuendelea kujisajili na Bima ya Afya ya Jamii ili kupata huduma mbalimbali za afya zilizo chini ya mpango huo. Wakizungumza wakati wa mazishi ya mama wa Afisa Mkuu wa Mitambo katika Shirika la Utangazaji humu nchini, KBC, Irene Mwania huko Embu, viongozi wa eneo hilo waliwahimiza Wakenya kupuuza siasa zinazozingira mpango huo wa SHA na kujiandikisha kwa wingiwakisema unaendelea kuwasaidia Wakenya wengi wanaotafuta huduma za matibabu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive