Wagonjwa wazidi kuhangaika hospitali za kibinafsi

  • | Citizen TV
    492 views

    Wakenya wanaotafuta huduma za matibabu katika hospitali za kibinafsi kwa kutumia bima ya afya ya serikali ya SHA wameendelea kusalia njiapanda, huku hospitali nyingi zikidinda kuwahudumia. Katika hospitali kadhaa maeneo ya Kericho na Kisii, wagonjwa walilazimika kutafuta njia mbadala kutibiwa