Wauguzi wagoma Kwale

  • | KBC Video
    10 views

    Wauguzi wanaohudumu chini ya mpango wa afya kwa wote wameendelea na mgomo wao na mandamano kushinikiza kuandikwa kazi kwa masharti ya kudumu na malipo ya marupurupu yao. Katika kaunti ya Kwale , wauguzi waliowasilisha malalamishi yao kwa afisi kadhaa za serikali waliapa kutorejea kazini hadi pale matakwa yao yatakapo shughulikiwa . Wauguzi hao ni miongoni mwa wahudumu wa afya 8500 walioajiriwa mwaka 2020 kwa kandarasi za muda kukiwa na ahadi kuwa wangeajiriwa kwa masharti ya kudumu .

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive