Uatawi wa jamii : Seririkali yahimizwa kuongeza masomo ya kifedha kwenye mtaala

  • | KBC Video
    5 views

    Wizara ya elimu imehimizwa kushirikisha masomo ya kifedha kwenye mtaala wa shule za msingi kuhakikisha wanafunzi wanaelewa umuhimu wa kuwekeza na kufanya biashara kama njia ya kukabiliana na ufukara na changamoto za kiuchumi . Akizungumza mjini Busia wakati wa kongamanao la kila mwaka la chama cha walimu cha Bushirika kutoka kaunti ya Bungoma , Katibu wa wizara ya biashara ndogo na zile za kadiri Susan Mang'eni, alisema kuwa wakenya wengi hawana maarifa ya kutosha ya kifedha, hali inayoathiri ustawi wa nchi hii

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive