Wakfu wa Safaricom wajenga madarasa Migori

  • | KBC Video
    7 views

    wadau wa elimu katika kaunti ya Migori wamefadhaishwa na kudorora kwa muundo mbinu katika shile nyingi za eneo hilo wakitoa wito wa ushirikiano baina ya serikali na sekta ya kibinafsi ili kuboresha taasisi za elimu. Wakiongea wakati wakfu wa safaricom ulipokabidhi madarasa 12 na maabara kwa wasimamizi wa shule ya msingi ya Komolo Rume, wadau hao waligusia umuhimu wa dharura wa kustawisha muundo mbinu katika shule nyingi za humu nchini. Mradi huo uliogharimu shilingi milioni 40 ni sehemu ya juhudi za wakfu huo za kuinua viwango vya elimu humu nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive