Rais Ruto awakashifu wakosoaji wa serikali

  • | KBC Video
    1,734 views

    Rais William Ruto amewakashifu viongozi wa upinzani ambao amesema hawana mpango wazi kwa taifa, na badala yake wanatumia muda wao kuidhalalisha serikali yake. Akizungumza katika kaunti ya Taita Taveta, Rais aliwadiriki viongozi hao kuweka wazi manifesto zao kwa wapiga kura, na kufafanua wazi sera na mikakati yao badala ya kutumia jina lake kujitafutia umaarufu. Rais Ruto pia alikemea siasa za ukabila akiwahimiza viongozi kutoa suluhu kwa changamoto zinazowakumba Wakenya

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive