- 392 views- - - - - VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Wakazi wa mji wa Sake huko DRC waliporejea katika makazi yao
- - 🔴LIVE | TV47 MATUKIO ››
- 4 Mar 2025 - New Harambee Stars head coach Benni McCarthy believes Kenya can still qualify for the 2026 FIFA World Cup that will be co-hosted by Canada, Mexico, and the United States. The 47-year-old was officially unveiled as the new coach after signing a contract…
- 4 Mar 2025 - Trump also took aim at European leaders who met Zelensky for crisis talks in London at the weekend, saying that they had "stated flatly that they cannot do the job without the US."
- 4 Mar 2025 - The long-standing conflict, driven by recurring livestock disputes, escalated into violence as rival groups engaged in battle using bows and arrows. In response, security agencies convened a crisis meeting on Monday with representatives from both…
- 4 Mar 2025 - As the strange disease enters its third week in Kisii County, a mother and her ailing three-year-old child seek relief from symptoms that include headaches, fatigue, stomach aches, and diarrhea.
- 4 Mar 2025 - As the strange disease enters its third week in Kisii County, a mother and her ailing three-year-old child seek relief from symptoms that include headaches, fatigue, stomach aches, and diarrhea.
- 4 Mar 2025 - The collaboration will boost tax research, capacity-building initiatives, and the dissemination of research findings, strengthening Kenya’s ability to formulate sound fiscal policies
- 4 Mar 2025 - Return of the red dragon: Kenya forced to face East amid looming Western aid cuts
- 4 Mar 2025 - Kenya's AUC performance proof of its rising diplomatic influence
- 4 Mar 2025 - David Molenje and Rebecca Murunga parted ways in 1994 when she was six months pregnant. Father and son met for the first time last Friday.
- 3 Mar 2025 - The Green Belt Movement, the organization Maathai founded to safeguard the environment, joined forces with the Conservation Alliance of Kenya to commemorate Wangari Maathai Day 2025 in Nairobi, honoring her enduring impact on environmental justice and…