Gen Z Kuamua 2027; Wanasiasa wawapigania Gen Z

  • | TV 47
    156 views

    Gen Z Kuamua 2027; Wanasiasa wawapigania Gen Z. Vyama Vya Kisiasa Vyanza Harakati Za Kupata Uungwaji Mkono Wa Gen Z

    Maandamano yaliyoongozwa na kizazi cha Gen Z mwezi Juni 25 mwaka 2024 yalitikisa serikali na kuazisha upya harakati za kutetea utawala bora wa taifa.

    Tunapolekea kwenye uchaguzi mkuu wa 2027, kizazi cha Gen Z, kimegeuka kuwa kitovu cha kila msafara wa kisiasa.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __