- 472 viewsMwandishi wa Habari wa VOA Misha Komadovsky alirekodi malumbano makali kati ya Rais wa Marekani Donald Trump na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy wakiwa Ofisi ya Oval, White House Februari 28, 2025. Mkutano wa White House kati ya Rais wa Marekani Donald Trump na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy ulikuwa na lengo la kufikia makubaliano ya kuiruhusu Marekani fursa ya kupata madini adimu na uligeuka malumbano makali kati ya viongozi hao na Trump alimueleza Zelenskyy, “ Ama utafikia makubaliano au sisi tunajitoa.” Katika taarifa kwenye mitandao ya kijamii baada ya mkutano huo, Trump aliashiria kuwa pendekezo la makubaliano limevunjika. “Nimegundua kuwa Rais Zelenskyy hayuko tayari kwa amani iwapo Marekani itahusishwa kwa sababu anahisi ushiriki wetu unampa fursa kubwa katika mashauriano,” Trump aliandika. Kufuatia ziara hiyo, Zelenskyy alibandika katika mtandao wa X: “Ahsante Marekani, nashukuru kwa msaada wenu, ahsante kwa ziara hii. Ahsante @POTUS. Bunge la Marekani, na watu wa Marekani. Ukraine inahitaji amani ya kudumu, na sisi tunalihangaikia hilo.” #trump #zelenskyy #ukraine #russia #voa
Nini kilitokea katika mkutano wa Rais Trump na Zelenskyy?
- - The women agenda ››
- - Scales of Justice ››
- 4 Mar 2025 - The Kenya Meteorological Department has predicted that occasional rainfall is expected later in the week across some parts of the country.
- 4 Mar 2025 - Makueni Senator Dan Maanzo has claimed that he was offered a bribe of Ksh.4 million to vote in favour of former Deputy President Rigathi Gachagua's impeachment.
- 4 Mar 2025 - Gachagua had warned President William Ruto against visiting Meru if Chief Justice Martha Koome is removed from office.
- 4 Mar 2025 - The research published in the Lancet medical journal used data from 204 countries to paint a grim picture of what it described as one of the great health challenges of the century.
- 4 Mar 2025 - The first attack killed a herder in Dira, Tiaty constituency, Baringo County.
- 4 Mar 2025 - The economic pinch in the country is continuing to hurt Kenyans as more of them are being locked out of jobs.
- 4 Mar 2025 - UNICEF said the scale of child rape in war-ravaged Sudan was far more widespread than just the documented cases and urged all sides to end sexual violence as a war tactic.
- 4 Mar 2025 - U.S. President Donald Trump has paused military aid to Ukraine following his clash with Ukrainian President Volodymyr Zelenskiy last week, a White House official said, deepening the fissure that has opened between the two one-time allies.
- 4 Mar 2025 - The CoB was speaking during a meeting with the National Assembly Liaison Committee.
- 4 Mar 2025 - The move comes just days after a stunning public clash between Ukrainian President Volodymyr Zelensky and Trump, who is seeking a rapid end to the war.