Rais wa Riadha Sebastian Coe Azuru Kenya

  • | TV 47
    14 views

    Rais wa Riadha Sebastian Coe Azuru Kenya.

    Coe akutana na Waziri Salim Mvurya na washikadau wa Riadha nchini Kenya.

    Seb Coe anawania urais wa Shirikisho la Olimpiki nchini.

    Kenya ina kura mbili za uchaguzi wa Olimpiki.

    Humprey Kayange ambaye ni mwanachama wa Olimpiki kushiriki kwenye ushaguzi huo.

    Paul Tergat ambaye ni Rais wa Olimpiki Kenya kushiriki uchaguzi huo.

    Wanariadha waonywa kuhusu udanganyifu wa miaka.

    Wanariadha 34 wanachuguzwa kwa udanganyifu wa miaka.

    #TV47Matukio @Kilemi_Andrine @duncoaskofu_ Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __