Nini hatma ya Trump kwa Ukraine?

  • | BBC Swahili
    1,010 views
    Rais Donald Trump amechukuwa hatua inayoonekana kumtema Rais wa Ukraine Zelensky. Sasa je, Bara Ulaya itaweza kuubeba mzigo wa kuisaidia Ukraine kujilinda kijeshi dhidi ya Urusi? Kwa haya na mengine mengi, ungana na @RoncliffeOdit katika Dira ya Dunia TV kwenye ukurasa wa YouTube wa BBC Swahili. #bbcswahili #marekani #DonaldTrump Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw