Maraga atangaza nia ya kuwania urais, akiapa kupambana na ufisadi

  • | NTV Video
    7,184 views

    Jaji mkuu mstaafu David Maraga amesema kuwa ana mawazo ya kuwania urais kwenye uchaguzi ujao. Maraga amesema kuwa ufisadi na wizi wa mali ya umma umekithiri nchini, na iwapo angepatiwa nafasi ya kuongoza nchi angehakikisha kuwa kila kiongozi anafuata sheria.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya