Kanali James Gitahi mumewe seneta maalum Betty Montet aaga dunia kwenye ajali

  • | Citizen TV
    1,178 views

    Rubani Mstaafu Kanali James Gitahi Nguyo ambaye ni mumewe Seneta Maalum Betty Montet amega dunia katika ajali iliyotokea katika eneo la Chumvi, kaunti ya Machakos.