Naibu Rais Kithure Kindiki ametangaza kwamba wakulima wa kahawa nchini Kenya wanatarajiwa kupata map

  • | Citizen TV
    299 views

    Naibu Rais Kithure Kindiki ametangaza kwamba wakulima wa kahawa nchini Kenya wanatarajiwa kupata mapato zaidi mwaka huu baada ya serikali kusaidia kuboresha uzalishaji. Kindiki ambaye alikutana na wanakamati wa kamati ya kilimo bungeni ofisini kwake Karen, anasema wakulima mwaka huu watauza mazao yao kwa bei maradufu.