Wafula Chebukati kuzikwa kwake siku ya Jumamosi

  • | Citizen TV
    1,883 views

    Kamishna wa Kaunti ya Trans Nzoia, Gideon Oyagi, amepiga marufuku waombolezaji wanaohudhuria mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa IEBC, Wafula Chebukati, kuvalia mavazi au kofia zenye nembo za vyama vya kisiasa.