Visa vya wizi wa ng'ombe vyaongezeka Webuye

  • | Citizen TV
    127 views

    Wakazi Mjini Webuye Na Viunga Vyake Wamelalamikia Ongezeko La Wizi Wa Mifugo Hasa Ng'ombe Huku Asasi Za Usalama Zikitoa Wito Kwa Wakazi Kushirikiana Na Serikali Ili Kutatua Tatizo Hilo.