Gavana wa kaunti ya Tana River Dhadho Godhana apuzilia mbali ripoti ya msimamizi wa bajeti

  • | Citizen TV
    116 views

    Gavana wa kaunti ya Tana River Dhadho Godhana amepuzilia mbali ripoti ya msimamizi wa bajeti kuwa kaunti yake ni miongoni mwa kaunti ambazo hazikutumia pesa zilizotengewa maendeleo.