Viongozi kutoka Kericho wadai serikali inatekeleza miradi yake

  • | Citizen TV
    338 views

    Washirika wa ndani wa rais william ruto wanasisitiza kuwa serikali imeweka juhudi za kufanikisha miradi muhimu ya kitaifa ikiwemo bima ya afya ya jamii ya SHA na ujenzi wa nyumba za serikali.