Tume ya EACC kutoa ripoti ya hali ya ufisadi Kaskazini mwa Bonde la Ufa

  • | Citizen TV
    154 views

    Tume ya kupambana na ufisadi humu nchini EACC leo, itatoa taarifa ya hali halisi ya ufisadi ulivyo kita mizizi katika ukanda wa kaskazini mwa Bonde la Ufa. Je tume hiyo imepiga hatua gani kuangamiza ufisadi? John Wanyama yuko Eldoret na tunaunga nae kwa taarifa zaidi.