Wakaazi wa Kilifi kufaidi huduma za radiolojia

  • | Citizen TV
    74 views

    Wagonjwa wanaohitaji huduma za picha kaunti ya Kilifi wamenufaika pakubwa baada ya serikali ya kaunti hiyo kuwekeza katika mashine ya kisasa cha kupiga picha.