Kaunti ya Mandera yachimba visima kuzuia ukosefu wa maji

  • | Citizen TV
    325 views

    Ni afueni kwa wakazi wa maeneo ya Birkan na Burmayo katika kaunti ya Mandera baada ya serikali ya kaunti hiyo kuchimba visima vya maji ili kupunguza mwendo mrefu ya wenyeji kutafuta maji wakati huu wa kiangazi.