Polisi wakabiliana na wanafunzi wa Multimedia

  • | Citizen TV
    8,365 views

    Zogo na vurumai limeshuhudiwa katika barabara ya Magadi pale wanafunzi wa chuo kikuu cha Multimedia walipokabiliana na maafisa wa polisi walipokuwa wakiandamana