Maandamano Ya Wanafunzi Chuo Cha Multimedia Yafunga Barabara Ya Magadi Baada Ya Kifo Cha Mmoja Wao

  • | TV 47
    16 views

    Maandamano Ya Wanafunzi Chuo Kikuu Cha Multimedia Yafunga Barabara Ya Magadi Baada Ya Kifo Cha Mmoja Wao

    Hali ya utulivu yarejea katika barabara ya magadi baada ya fujo kutawala mchana kutwa huku polisi wakijaribu kuwatuliza wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Multimedia walioandamana kufuatia kifo cha mwanafunzi mwenzao Lameck Wambui Mwangi.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __