Mtoto huyu wa miaka 3 anawezaje kusuka?

  • | BBC Swahili
    86 views
    Embu nikuulize jambo, ilikuchukua muda gani kutambua kipaji chako ulichonacho kwa sasa? Ama hauna kipaji kabisa??? Sasa leo hii nakukutanisha na mtoto mwenye miaka mitatu kutoka Nigeria ambaye ana kipaji kikubwa cha kusuka nywele kitaalam kabisa bila ya kufundishwa na mtu yeyote. Mama yake anasema wateja wamekua wakimiminika kuja kupata huduma yake baada ya kumuona mitandaoni.