Waziri Murkomen aagiza wenye silaha kuzisalimisha Trans Mara - Kisii

  • | Citizen TV
    997 views

    Waziri wa usalama wa kitaifa Kipchumba Murkomen amewataka watu wanaomiliki silaha kwenye mpaka wa Transmara na Kisii kukamatwa mara moja au wazisalimishe. Murkomen amekutana na vingozi wa maeneo haya hapa Nairobi huku viongozi wa maeneo hayo wakikutana leo katika eneo la mpakani la Kiango kulikoshuhudiwa ghasia. kufikia sasa mtu mmoja anazuiliwa kuhusu mapigano haya