‘Bomas haijauzwa,’Wizara ya Utamaduni imepinga madai ya Gachagua

  • | Citizen TV
    3,176 views

    Wizara ya utamaduni na turathi za kitaifa imekana madai ya aliyekuwa naibu Rais Rigathi Gachagua kuwa ukumbi wa Bomas of Kenya umeuzwa kwa raia wa Uturuki.